sw_tn/exo/39/21.md

12 lines
245 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Bazaleli na kundi lake wanaendelea kutengeneza mavazi ya kikuhani.
# ili kipate kuwa juu ya
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# kifuko cha kifuani kisiondoke juu ya efodi
"kifuko cha kifuani kitabaki kwenye efodi"