# Maelezo ya Jumla Bazaleli na kundi lake wanaendelea kutengeneza mavazi ya kikuhani. # ili kipate kuwa juu ya Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # kifuko cha kifuani kisiondoke juu ya efodi "kifuko cha kifuani kitabaki kwenye efodi"