sw_tn/exo/39/10.md

384 B

Maelezo ya Jumla

Bazaleli na kundi lake wanaendelea kutengeneza mavazi ya kikuhani.

Kisha wakakijaza

"Wafanya kazi wakaweka kwenye mshipi"

zabarijadi ... yaspi

Baadhi ya lugha zinaweza zisiwe na maneno ya baadhi ya haya mawe. Kitu cha muhimu ni kwamba yalikuwa na dhamani na yalitofautiana.

Yaliwekwa katika mapambo ya dhahabu

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.