# Maelezo ya Jumla Bazaleli na kundi lake wanaendelea kutengeneza mavazi ya kikuhani. # Kisha wakakijaza "Wafanya kazi wakaweka kwenye mshipi" # zabarijadi ... yaspi Baadhi ya lugha zinaweza zisiwe na maneno ya baadhi ya haya mawe. Kitu cha muhimu ni kwamba yalikuwa na dhamani na yalitofautiana. # Yaliwekwa katika mapambo ya dhahabu Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.