sw_tn/exo/39/10.md

16 lines
384 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Bazaleli na kundi lake wanaendelea kutengeneza mavazi ya kikuhani.
# Kisha wakakijaza
"Wafanya kazi wakaweka kwenye mshipi"
# zabarijadi ... yaspi
Baadhi ya lugha zinaweza zisiwe na maneno ya baadhi ya haya mawe. Kitu cha muhimu ni kwamba yalikuwa na dhamani na yalitofautiana.
# Yaliwekwa katika mapambo ya dhahabu
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.