|
# Maelezo ya Jumla
|
|
|
|
Bezaleli na kundi lake wanaanza kutengeneza mavazi ya kikuhani.
|
|
|
|
# wakafanya
|
|
|
|
Neno "wakafanya" lina husu Bezaleli, Oholiabu, na wafanya kazi wingine.
|
|
|
|
# kama vile Yahweh alivyokuwa amemwamuru Musa
|
|
|
|
"sawa na Yahweh alivyo mwambia Musa kufanya"
|