sw_tn/exo/39/01.md

263 B

Maelezo ya Jumla

Bezaleli na kundi lake wanaanza kutengeneza mavazi ya kikuhani.

wakafanya

Neno "wakafanya" lina husu Bezaleli, Oholiabu, na wafanya kazi wingine.

kama vile Yahweh alivyokuwa amemwamuru Musa

"sawa na Yahweh alivyo mwambia Musa kufanya"