# Maelezo ya Jumla Bezaleli na kundi lake wanaanza kutengeneza mavazi ya kikuhani. # wakafanya Neno "wakafanya" lina husu Bezaleli, Oholiabu, na wafanya kazi wingine. # kama vile Yahweh alivyokuwa amemwamuru Musa "sawa na Yahweh alivyo mwambia Musa kufanya"