sw_tn/exo/38/24.md

548 B

Dhahabu yote iliyotumiwa kwa ajili ya kazi

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

alanta ishirini na tisa ... talanta mia moja

"talanta 29 ... talanta 100." Talanta ni kilogramu 34.

shekeli 730 ... shekeli 1,775

Shekeli ni gramu 11.

kulingana na shekeli ya mahali patakatifu

Ni wazi kulikuwa na shekeli zenye uzito zaidi ya moja kipindi hicho. Hii ili eleza ipi kutumika.

Nayo fedha ya wale walioandikishwa kati ya kusanyiko

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

nusu shekeli

"1/2 shekeli"

miaka ishirini

"miaka 20"