sw_tn/exo/38/24.md

28 lines
548 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Dhahabu yote iliyotumiwa kwa ajili ya kazi
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# alanta ishirini na tisa ... talanta mia moja
"talanta 29 ... talanta 100." Talanta ni kilogramu 34.
# shekeli 730 ... shekeli 1,775
Shekeli ni gramu 11.
# kulingana na shekeli ya mahali patakatifu
Ni wazi kulikuwa na shekeli zenye uzito zaidi ya moja kipindi hicho. Hii ili eleza ipi kutumika.
# Nayo fedha ya wale walioandikishwa kati ya kusanyiko
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# nusu shekeli
"1/2 shekeli"
# miaka ishirini
"miaka 20"