# Dhahabu yote iliyotumiwa kwa ajili ya kazi Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # alanta ishirini na tisa ... talanta mia moja "talanta 29 ... talanta 100." Talanta ni kilogramu 34. # shekeli 730 ... shekeli 1,775 Shekeli ni gramu 11. # kulingana na shekeli ya mahali patakatifu Ni wazi kulikuwa na shekeli zenye uzito zaidi ya moja kipindi hicho. Hii ili eleza ipi kutumika. # Nayo fedha ya wale walioandikishwa kati ya kusanyiko Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # nusu shekeli "1/2 shekeli" # miaka ishirini "miaka 20"