sw_tn/exo/37/25.md

16 lines
288 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Bazaleli na kundi lake wanaendelea kujenga maskani na vifaa.
# Sasa akafanya ... wa dhahabu
Kwa 37:25-26 ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 30:1 na 30:3
# Mkono
Mkono ni sentimita 46.
# Pembe zake zilitoka kwake
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.