# Maelezo ya Jumla Bazaleli na kundi lake wanaendelea kujenga maskani na vifaa. # Sasa akafanya ... wa dhahabu Kwa 37:25-26 ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 30:1 na 30:3 # Mkono Mkono ni sentimita 46. # Pembe zake zilitoka kwake Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.