sw_tn/exo/37/25.md

288 B

Maelezo ya Jumla

Bazaleli na kundi lake wanaendelea kujenga maskani na vifaa.

Sasa akafanya ... wa dhahabu

Kwa 37:25-26 ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 30:1 na 30:3

Mkono

Mkono ni sentimita 46.

Pembe zake zilitoka kwake

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.