sw_tn/exo/37/17.md

16 lines
395 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Bazaleli na kundi lake wanaendelea kujenga maskani na vifaa.
# Kisha akafanya ... yakitoka katika kile kinara cha taa
Kwa 37:17-19 ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 25:31 na 25:33
# na vikombe vitatu vyenye umbo la maua ya mlozi
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# maua ya mlozi
Maua ya mlozi ni meupe yenye mashina matano yanayo ota kwenye huo mti.