# Sentensi Unganishi Bazaleli na kundi lake wanaendelea kujenga maskani na vifaa. # Kisha akafanya ... yakitoka katika kile kinara cha taa Kwa 37:17-19 ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 25:31 na 25:33 # na vikombe vitatu vyenye umbo la maua ya mlozi Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # maua ya mlozi Maua ya mlozi ni meupe yenye mashina matano yanayo ota kwenye huo mti.