sw_tn/exo/37/17.md

395 B

Sentensi Unganishi

Bazaleli na kundi lake wanaendelea kujenga maskani na vifaa.

Kisha akafanya ... yakitoka katika kile kinara cha taa

Kwa 37:17-19 ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 25:31 na 25:33

na vikombe vitatu vyenye umbo la maua ya mlozi

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

maua ya mlozi

Maua ya mlozi ni meupe yenye mashina matano yanayo ota kwenye huo mti.