sw_tn/exo/37/14.md

16 lines
450 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Bazaleli na kundi lake wanaendelea kujenga maskani na vifaa.
# Pete hizo ... kutokana na dhahabu safi
Kwa 37:14-16 ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 25:25 na 25:28
# Pete hizo zilikuwa karibu
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# vyombo vilivyo juu ya meza, sahani zake na vikombe vyake na mabakuli yake na mitungi yake iliyotumiwa kumimina matoleo
Ni mabakuli pekee na mitungi inayo tumika kumimina matoleo.