sw_tn/exo/37/14.md

450 B

Maelezo ya Jumla

Bazaleli na kundi lake wanaendelea kujenga maskani na vifaa.

Pete hizo ... kutokana na dhahabu safi

Kwa 37:14-16 ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 25:25 na 25:28

Pete hizo zilikuwa karibu

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

vyombo vilivyo juu ya meza, sahani zake na vikombe vyake na mabakuli yake na mitungi yake iliyotumiwa kumimina matoleo

Ni mabakuli pekee na mitungi inayo tumika kumimina matoleo.