# Maelezo ya Jumla Bazaleli na kundi lake wanaendelea kujenga maskani na vifaa. # Pete hizo ... kutokana na dhahabu safi Kwa 37:14-16 ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 25:25 na 25:28 # Pete hizo zilikuwa karibu Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # vyombo vilivyo juu ya meza, sahani zake na vikombe vyake na mabakuli yake na mitungi yake iliyotumiwa kumimina matoleo Ni mabakuli pekee na mitungi inayo tumika kumimina matoleo.