sw_tn/exo/37/04.md

16 lines
403 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Kazi ya Bezaleli na kundi lake la endelea kujenga maskani na vivyombo vyake.
# Kisha akafanya ... Mikono miwili na nusu
Kwa 37:4-6ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 25:12 na 25:15
# Kisha akafanya
Japo "akafanya" ya husu Bezaleli, "akafanya" yaweza husisha wafanya kazi wote waliyo msaidia.
# Mikono miwili na nusu ... mkono mmoja na nusu
"mikono 2.5" ... mikono 1.5"