# Maelezo ya Jumla Kazi ya Bezaleli na kundi lake la endelea kujenga maskani na vivyombo vyake. # Kisha akafanya ... Mikono miwili na nusu Kwa 37:4-6ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 25:12 na 25:15 # Kisha akafanya Japo "akafanya" ya husu Bezaleli, "akafanya" yaweza husisha wafanya kazi wote waliyo msaidia. # Mikono miwili na nusu ... mkono mmoja na nusu "mikono 2.5" ... mikono 1.5"