sw_tn/exo/37/04.md

403 B

Maelezo ya Jumla

Kazi ya Bezaleli na kundi lake la endelea kujenga maskani na vivyombo vyake.

Kisha akafanya ... Mikono miwili na nusu

Kwa 37:4-6ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 25:12 na 25:15

Kisha akafanya

Japo "akafanya" ya husu Bezaleli, "akafanya" yaweza husisha wafanya kazi wote waliyo msaidia.

Mikono miwili na nusu ... mkono mmoja na nusu

"mikono 2.5" ... mikono 1.5"