sw_tn/exo/35/34.md

624 B

Maelezo ya Jumla

Musa anaendelea kuongea na watu.

Aliiweka kufundisha ndani ya moyo wake

Hapa "moyo" wa husu Bezaleli. Uwezo wa kufundisha unazungumziwa kana kwamba ni kitu kinachoweza kuwekwa kwenye moyo.

Aliwajaza kwa ustadi

Ustadi wa kutengeneza vitu vizuri unazungumziwa kana kwamba ni kitu kinacho weza kumjaza mtu.

Oholiabu mwana wa Ahisamaki, kutoka kabila la Dani

"Oholiabu" na "Ahimasaki" ni majina ya wanaume.

mwerevu

mtu anaye kata michora kwenye vitu vigumu kama mbao, mawe, au chuma

washonaji

mtu anaye tengeneza nguo kutumia uzi

wabunifu wa sanaa

mtu anaye tengeneza uzuri kwa vifaa