sw_tn/exo/35/34.md

28 lines
624 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Musa anaendelea kuongea na watu.
# Aliiweka kufundisha ndani ya moyo wake
Hapa "moyo" wa husu Bezaleli. Uwezo wa kufundisha unazungumziwa kana kwamba ni kitu kinachoweza kuwekwa kwenye moyo.
# Aliwajaza kwa ustadi
Ustadi wa kutengeneza vitu vizuri unazungumziwa kana kwamba ni kitu kinacho weza kumjaza mtu.
# Oholiabu mwana wa Ahisamaki, kutoka kabila la Dani
"Oholiabu" na "Ahimasaki" ni majina ya wanaume.
# mwerevu
mtu anaye kata michora kwenye vitu vigumu kama mbao, mawe, au chuma
# washonaji
mtu anaye tengeneza nguo kutumia uzi
# wabunifu wa sanaa
mtu anaye tengeneza uzuri kwa vifaa