# Maelezo ya Jumla Musa anaendelea kuongea na watu. # Aliiweka kufundisha ndani ya moyo wake Hapa "moyo" wa husu Bezaleli. Uwezo wa kufundisha unazungumziwa kana kwamba ni kitu kinachoweza kuwekwa kwenye moyo. # Aliwajaza kwa ustadi Ustadi wa kutengeneza vitu vizuri unazungumziwa kana kwamba ni kitu kinacho weza kumjaza mtu. # Oholiabu mwana wa Ahisamaki, kutoka kabila la Dani "Oholiabu" na "Ahimasaki" ni majina ya wanaume. # mwerevu mtu anaye kata michora kwenye vitu vigumu kama mbao, mawe, au chuma # washonaji mtu anaye tengeneza nguo kutumia uzi # wabunifu wa sanaa mtu anaye tengeneza uzuri kwa vifaa