sw_tn/exo/35/20.md

393 B

makabila yote ya Israeli

Hii ya husu watu katika makabila.

mtu moyo wake ulimchochea

Hapa "moyo" wa husu mtu. Moyo uliyo mjibu Mungu unazungumziwa kana kwamba ni maji yaliyo tibuliwa na mafuriko.

aliye andaliwa na roho yake

Hapa "roho" ya husu mtu.

wote waliokuwa na moyo wa utayari

Hapa "moyo" wa husu mtu.

madini, hereni, pete, na vitu vya thamani

Hizi ni aina ya mikufu.