sw_tn/exo/35/20.md

20 lines
393 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# makabila yote ya Israeli
Hii ya husu watu katika makabila.
# mtu moyo wake ulimchochea
Hapa "moyo" wa husu mtu. Moyo uliyo mjibu Mungu unazungumziwa kana kwamba ni maji yaliyo tibuliwa na mafuriko.
# aliye andaliwa na roho yake
Hapa "roho" ya husu mtu.
# wote waliokuwa na moyo wa utayari
Hapa "moyo" wa husu mtu.
# madini, hereni, pete, na vitu vya thamani
Hizi ni aina ya mikufu.