# makabila yote ya Israeli Hii ya husu watu katika makabila. # mtu moyo wake ulimchochea Hapa "moyo" wa husu mtu. Moyo uliyo mjibu Mungu unazungumziwa kana kwamba ni maji yaliyo tibuliwa na mafuriko. # aliye andaliwa na roho yake Hapa "roho" ya husu mtu. # wote waliokuwa na moyo wa utayari Hapa "moyo" wa husu mtu. # madini, hereni, pete, na vitu vya thamani Hizi ni aina ya mikufu.