sw_tn/exo/35/17.md

346 B

vishikizo

Hizi zilikuwa pazia kubwa zilizo tengenezwa kwa kitambaa.

nguzo

Hizi zilikuwa vipande vigumu vya mbao vilivyo nyooshwa na kutumika kama vishikizo.

sakafu

Hizi zilikuwa tofali zenye shikizo ndani yake kushikilia mbao.

misumari ya hema

vipande vikali vya mbao au chuma vilivyo tumika kuhifadhi miisho ya hema kwenye ardhi.