# vishikizo Hizi zilikuwa pazia kubwa zilizo tengenezwa kwa kitambaa. # nguzo Hizi zilikuwa vipande vigumu vya mbao vilivyo nyooshwa na kutumika kama vishikizo. # sakafu Hizi zilikuwa tofali zenye shikizo ndani yake kushikilia mbao. # misumari ya hema vipande vikali vya mbao au chuma vilivyo tumika kuhifadhi miisho ya hema kwenye ardhi.