sw_tn/exo/34/05.md

44 lines
984 B
Markdown

# akasima mbele za Musa
"akasimama na Musa katika mlima"
# akatamka jina "Yahweh"
Maana zinazo wezekana ni 1) "alitaja jina "Yahweh"' au 2) "alikiri Yahweh ni nani." Kwa maana ya pili, "jina" lina wakilisha Mungu ni nani.
# Yahweh, Yahweh, Mungu ni wa rehema na wa neema
Mungu anaongea kuhusu yeye.
# anadumu katika uwaminifu wa agano na uadilifu
"mara zote anaonyesha uwaminifu wa agano na uadilifu"
# anadumu katika uwaminifu wa agano
"mara zote ni mwaminifu wa agano langu"
# anadumu katika ... uadilifu
"mara zote uwa mwadilifu"
# Lakini
Yahweh anazungmza kuhusu yeye.
# hamsafishi mwenye hatia
Yahweh anazungmza kuhusu yeye.
# hamsafishi mwenye hatia
"hakika hasafishi mwenye hatia" au "hakika hatasema kwamba mwenye hatia hana makosa" au "hata wa weka huru watu wenye hatia"
# Ataleta adhabu ya dhambi za baba kwa watoto wao
Kutoa hadhabu kuna ongelewa kana kwamba hadhabu ni kitu mtu anaweza kuleta kwa watu.
# watoto wao
Neno "watoto" la wakilisha uzao.