sw_tn/exo/34/05.md

984 B

akasima mbele za Musa

"akasimama na Musa katika mlima"

akatamka jina "Yahweh"

Maana zinazo wezekana ni 1) "alitaja jina "Yahweh"' au 2) "alikiri Yahweh ni nani." Kwa maana ya pili, "jina" lina wakilisha Mungu ni nani.

Yahweh, Yahweh, Mungu ni wa rehema na wa neema

Mungu anaongea kuhusu yeye.

anadumu katika uwaminifu wa agano na uadilifu

"mara zote anaonyesha uwaminifu wa agano na uadilifu"

anadumu katika uwaminifu wa agano

"mara zote ni mwaminifu wa agano langu"

anadumu katika ... uadilifu

"mara zote uwa mwadilifu"

Lakini

Yahweh anazungmza kuhusu yeye.

hamsafishi mwenye hatia

Yahweh anazungmza kuhusu yeye.

hamsafishi mwenye hatia

"hakika hasafishi mwenye hatia" au "hakika hatasema kwamba mwenye hatia hana makosa" au "hata wa weka huru watu wenye hatia"

Ataleta adhabu ya dhambi za baba kwa watoto wao

Kutoa hadhabu kuna ongelewa kana kwamba hadhabu ni kitu mtu anaweza kuleta kwa watu.

watoto wao

Neno "watoto" la wakilisha uzao.