# akasima mbele za Musa "akasimama na Musa katika mlima" # akatamka jina "Yahweh" Maana zinazo wezekana ni 1) "alitaja jina "Yahweh"' au 2) "alikiri Yahweh ni nani." Kwa maana ya pili, "jina" lina wakilisha Mungu ni nani. # Yahweh, Yahweh, Mungu ni wa rehema na wa neema Mungu anaongea kuhusu yeye. # anadumu katika uwaminifu wa agano na uadilifu "mara zote anaonyesha uwaminifu wa agano na uadilifu" # anadumu katika uwaminifu wa agano "mara zote ni mwaminifu wa agano langu" # anadumu katika ... uadilifu "mara zote uwa mwadilifu" # Lakini Yahweh anazungmza kuhusu yeye. # hamsafishi mwenye hatia Yahweh anazungmza kuhusu yeye. # hamsafishi mwenye hatia "hakika hasafishi mwenye hatia" au "hakika hatasema kwamba mwenye hatia hana makosa" au "hata wa weka huru watu wenye hatia" # Ataleta adhabu ya dhambi za baba kwa watoto wao Kutoa hadhabu kuna ongelewa kana kwamba hadhabu ni kitu mtu anaweza kuleta kwa watu. # watoto wao Neno "watoto" la wakilisha uzao.