sw_tn/exo/33/21.md

217 B

Ona

"Tazama!" au "Sikia!" au "Kuwa makini kwa nitakacho kwambia"

utaona mgongo wangu

Hii ni kwasababu Yahweh atakuwa akiondoka kwa Musa.

ila uso wangu hautaonekana

Hii yaweza elezezwa katika tensi tendaji.