sw_tn/exo/33/21.md

12 lines
217 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ona
"Tazama!" au "Sikia!" au "Kuwa makini kwa nitakacho kwambia"
# utaona mgongo wangu
Hii ni kwasababu Yahweh atakuwa akiondoka kwa Musa.
# ila uso wangu hautaonekana
Hii yaweza elezezwa katika tensi tendaji.