# Ona "Tazama!" au "Sikia!" au "Kuwa makini kwa nitakacho kwambia" # utaona mgongo wangu Hii ni kwasababu Yahweh atakuwa akiondoka kwa Musa. # ila uso wangu hautaonekana Hii yaweza elezezwa katika tensi tendaji.