|
# Maelezo ya Jumla
|
|
|
|
Yahweh anapo tumia neno "nawe" katika huu mstari, ni katika uchache na lina husu Musa.
|
|
|
|
# umepata upendeleo machoni mwangu
|
|
|
|
Huu ni msemo wenye maana kwamba Mungu kapendezwa naye.
|
|
|
|
# nina kujua kwa jina
|
|
|
|
Kumjua mtu kwa jina ni kumjua vyema.
|