sw_tn/exo/33/17.md

260 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anapo tumia neno "nawe" katika huu mstari, ni katika uchache na lina husu Musa.

umepata upendeleo machoni mwangu

Huu ni msemo wenye maana kwamba Mungu kapendezwa naye.

nina kujua kwa jina

Kumjua mtu kwa jina ni kumjua vyema.