# Maelezo ya Jumla Yahweh anapo tumia neno "nawe" katika huu mstari, ni katika uchache na lina husu Musa. # umepata upendeleo machoni mwangu Huu ni msemo wenye maana kwamba Mungu kapendezwa naye. # nina kujua kwa jina Kumjua mtu kwa jina ni kumjua vyema.