sw_tn/exo/32/25.md

444 B

wameasi

"walikuwa wanatenda kinyama" au "hawakuwa wanajizuia"

Ndipo Musa akasimama katika mlango ... "Mtu awaye yote aliye upande wa Yahweh na aje kwangu."

Hii yaweza andikwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja.

Mtu awaye yote aliye upande wa Yahweh

Musa anazungumza kwa mwaminifu kwa Yahweh kama kuwa upande wa Yahweh.

akapite huko na huko toka mlango hata mlango

"nenda ndani na nje kutoka mlango mmoja wa kambi kwenda mwingine"