sw_tn/exo/32/25.md

16 lines
444 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wameasi
"walikuwa wanatenda kinyama" au "hawakuwa wanajizuia"
# Ndipo Musa akasimama katika mlango ... "Mtu awaye yote aliye upande wa Yahweh na aje kwangu."
Hii yaweza andikwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja.
# Mtu awaye yote aliye upande wa Yahweh
Musa anazungumza kwa mwaminifu kwa Yahweh kama kuwa upande wa Yahweh.
# akapite huko na huko toka mlango hata mlango
"nenda ndani na nje kutoka mlango mmoja wa kambi kwenda mwingine"