# wameasi "walikuwa wanatenda kinyama" au "hawakuwa wanajizuia" # Ndipo Musa akasimama katika mlango ... "Mtu awaye yote aliye upande wa Yahweh na aje kwangu." Hii yaweza andikwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja. # Mtu awaye yote aliye upande wa Yahweh Musa anazungumza kwa mwaminifu kwa Yahweh kama kuwa upande wa Yahweh. # akapite huko na huko toka mlango hata mlango "nenda ndani na nje kutoka mlango mmoja wa kambi kwenda mwingine"