sw_tn/exo/32/21.md

28 lines
857 B
Markdown

# Musa akamwambia Aruni, "Watu hawa ... dhambi hii kuu juu yao?
Hii yaweza andikwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja.
# ukaleta dhambi hii kuu juu yao?
Musa aliongea kusababisha watu kufanya dhambi kana kwamba dhambi ni kitu na Aruni aliwawekea.
# Hasira yako isiwake
Aruni aliongelea hasira ya Musa kana kwamba ni moto unao weza kuchoma. "Usiwe na hasira sana"
# wamejielekeza kwa mabaya
Kupania kufanya uovu kunaongelewa kama kuwekwa kwenye uovu.
# huyo Musa
Watu walionyesha kutoheshimu kwa kuweka "huyo" kabla ya jina lake, kana kwamba Musa laikuwa mtu wasio mjua na hawawezi muamini.
# Nikawaambia, 'Mtu ye yote aliye na dhahabu na aivue
Hii yaweza andikwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja.
# nikaitupa ndani ya moto, akatoka ndama huyu
Badala ya kuchukuwa umiliki wa kutengeneza ndama, Aruni anadai ndama alitoka kwenye moto kimuujiza.