sw_tn/exo/32/21.md

857 B

Musa akamwambia Aruni, "Watu hawa ... dhambi hii kuu juu yao?

Hii yaweza andikwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja.

ukaleta dhambi hii kuu juu yao?

Musa aliongea kusababisha watu kufanya dhambi kana kwamba dhambi ni kitu na Aruni aliwawekea.

Hasira yako isiwake

Aruni aliongelea hasira ya Musa kana kwamba ni moto unao weza kuchoma. "Usiwe na hasira sana"

wamejielekeza kwa mabaya

Kupania kufanya uovu kunaongelewa kama kuwekwa kwenye uovu.

huyo Musa

Watu walionyesha kutoheshimu kwa kuweka "huyo" kabla ya jina lake, kana kwamba Musa laikuwa mtu wasio mjua na hawawezi muamini.

Nikawaambia, 'Mtu ye yote aliye na dhahabu na aivue

Hii yaweza andikwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja.

nikaitupa ndani ya moto, akatoka ndama huyu

Badala ya kuchukuwa umiliki wa kutengeneza ndama, Aruni anadai ndama alitoka kwenye moto kimuujiza.