# Musa akamwambia Aruni, "Watu hawa ... dhambi hii kuu juu yao? Hii yaweza andikwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja. # ukaleta dhambi hii kuu juu yao? Musa aliongea kusababisha watu kufanya dhambi kana kwamba dhambi ni kitu na Aruni aliwawekea. # Hasira yako isiwake Aruni aliongelea hasira ya Musa kana kwamba ni moto unao weza kuchoma. "Usiwe na hasira sana" # wamejielekeza kwa mabaya Kupania kufanya uovu kunaongelewa kama kuwekwa kwenye uovu. # huyo Musa Watu walionyesha kutoheshimu kwa kuweka "huyo" kabla ya jina lake, kana kwamba Musa laikuwa mtu wasio mjua na hawawezi muamini. # Nikawaambia, 'Mtu ye yote aliye na dhahabu na aivue Hii yaweza andikwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja. # nikaitupa ndani ya moto, akatoka ndama huyu Badala ya kuchukuwa umiliki wa kutengeneza ndama, Aruni anadai ndama alitoka kwenye moto kimuujiza.