sw_tn/exo/32/01.md

16 lines
336 B
Markdown

# watu walipoona
Hapa kuelewa kitu kuna zungumziwa kama kinaonekana.
# Njoo, katufanyizie sanamu
Neno "njoo" lina imarisha nguvu ya agizo linalo fuata. Watu walikuwa wanataka Aruni awafanyie sanamu kwa ajili yao.
# itakayokwenda mbele yetu
"tuongoza sisi" au "kuwa kiongozi wetu"
# mkaniletee
Neno "wao" la husu pete za dhahabu.