# watu walipoona Hapa kuelewa kitu kuna zungumziwa kama kinaonekana. # Njoo, katufanyizie sanamu Neno "njoo" lina imarisha nguvu ya agizo linalo fuata. Watu walikuwa wanataka Aruni awafanyie sanamu kwa ajili yao. # itakayokwenda mbele yetu "tuongoza sisi" au "kuwa kiongozi wetu" # mkaniletee Neno "wao" la husu pete za dhahabu.