sw_tn/exo/32/01.md

336 B

watu walipoona

Hapa kuelewa kitu kuna zungumziwa kama kinaonekana.

Njoo, katufanyizie sanamu

Neno "njoo" lina imarisha nguvu ya agizo linalo fuata. Watu walikuwa wanataka Aruni awafanyie sanamu kwa ajili yao.

itakayokwenda mbele yetu

"tuongoza sisi" au "kuwa kiongozi wetu"

mkaniletee

Neno "wao" la husu pete za dhahabu.