sw_tn/exo/30/26.md

16 lines
228 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kuongea na Musa.
# Nawe utaipaka
Hapa "nawe" ya husu Musa.
# sanduku la ushuhuda
Sanduku ni chombo chenye amri.
# madhabahu ya kufukizia uvumba
"madhabahu ambayo sadaka ziliteketezwa"